• HABARI MPYA

    Saturday, February 26, 2022

    KMC YAIMIMINIA POLISI TZ 3-1 CHAMAZI


    WENYEJI, KMC imeibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
    Mabao ya KMC yamefungwa na Iddi Kipagwile dakika ya 15, Emmanuel Mvuyekure dakika ya 73 na Sadallah Lipangile dakika ya 88.
    Kwa ushindi huo, KMC inafikisha pointi 22 katika nafasi ya sita, wakati Polisi Tanzania inabaki na pointi zake 19 katika nafasi ya tisa baada ya wote kucheza mechi 16.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KMC YAIMIMINIA POLISI TZ 3-1 CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top