OPA CLEMENT MCHEZAJI BORA JANUARI LIGI YA WANAWAKE
MCHEZAJI wa timu ya Simba Queens, Opa Clement amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Januari Ligi Kuu ya Wanawake ya Tanzania Bara na kwa ushindi huo atapata Kiasi cha shilingi 500,000 kutoka kampuni ya Rani Sanitary Pad.
0 comments:
Post a Comment