• HABARI MPYA

  Wednesday, February 09, 2022

  SIMBA NA ASEC JUMAPILI KIINGILIO 5,000


  KIINGILIO cha chini katika mchezo wa mchezo wa kwanza Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika baina ya wenyeji, Simba SC na ASEC Mimosas ya Ivory Coast Jumapili kuanzia Saa 10:00 jioni Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam ni Sh. 5,000 kwa mzunguko.
  Viingilio vingine ni Sh. 20,000 VIP B na C na Sh. 40,000 VIP A, wakati tiketi za mashabiki maalum, maarufu kama Platinum zitauzwa kwa Sh. 150,000.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA NA ASEC JUMAPILI KIINGILIO 5,000 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top