• HABARI MPYA

  Friday, February 11, 2022

  ARSENAL YAICHAPA WOLVES 1-0 MOLINEUX


  BAO pekee la Gabriel Martinelli dakika ya 25, limeipa Arsenal ushindi wa 1-0 dhidi ya Wolverhampton Wanderers usiku wa Alhamisi Uwanja wa Molineux, Wolverhampton, West Midlands.
  Kwa ushindi huo, Arsenal inafikisha pointi 39 katika mchezo wa 22 na kupanda nafasi ya tano ikiizidi wastani wa mabao Manchester United, ambayo pia imecheza mechi moja zaidi.
  Wolves inabaki na pointi zake 34 za mechi 22 katika nafasi ya nane.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAICHAPA WOLVES 1-0 MOLINEUX Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top