• HABARI MPYA

  Wednesday, February 09, 2022

  BURNLEY YAIONDOA MAN UNITED ‘TOP FOUR’


  TIMU ya Manchester United imelazimishwa sare ya 1-1  na wenyeji, Burnley katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumanne Uwanja wa Turf Moor mjini Burnley.
  Kiungo Mfaransa, Paul Pogba alianza kuifungia Man United dakika ya 18, kabla ya mshambuliaji wa England, Jay Rodriguez kuisawazishia Burnley dakika ya 47.
  Kwa matokeo hayo, Man United inafikisha pointi 39 katika mchezo wa 23 na kuteremka kwa nafasi moja hadi ya tano, wakati Burnley inayofikisha pointi 14 katika mchezo wa 20 inaendelea kushika mkia.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BURNLEY YAIONDOA MAN UNITED ‘TOP FOUR’ Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top