• HABARI MPYA

  Wednesday, February 09, 2022

  SAKHO MCHEZAJI BORA WA JANUARI SIMBA SC


  KIUNGO mshambuliaji Msenegal, Pape Ousmane Sakho ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki wa Simba SC mwezi Januari 2022 na kukabidhiwa kitta cha Sh. Milioni 2 kutoka kwa wadhamini, kampuni ya Emirate Aluminium.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SAKHO MCHEZAJI BORA WA JANUARI SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top