• HABARI MPYA

  Friday, February 04, 2022

  MCHUNGAHELA MWENYEKITI MPYA KAMATI YA UCHAGUZI YANGA


  UONGOZI wa Yanga umemeteua Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Malangwe Ally Mchungahela kuwa Mwenyekiti wake mpya wa Kamati ya Uchaguzi.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MCHUNGAHELA MWENYEKITI MPYA KAMATI YA UCHAGUZI YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top