• HABARI MPYA

  Tuesday, January 05, 2021

  NAMUNGO FC YASONGA MBELE KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA BAADA YA SARE YA 3-3 NA AL HILAL LEO SUDAN

  TIMU ya Namungo FC imefanikiwa kusonga mbele kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika baada ya sare ya 3-3 na wenyeji, na Al Hilal Obayed leo Uwanja wa Al-Hilal mjini Omdurman, Sudan.
  Kwa matokeo hayo Namungo FC inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 5-3 na sasa itamenyana na moja ya timu zitakazotolewa kwenye Ligi ya Mabingwa kuwania kuingia hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho.
  Hongera Namungo FC, kila la heri katika hatua ijayo.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NAMUNGO FC YASONGA MBELE KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA BAADA YA SARE YA 3-3 NA AL HILAL LEO SUDAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top