• HABARI MPYA

  Thursday, January 07, 2021

  MAN CITY YAICHAPA MAN UNITED 2-0 NA KUTINGA FAINALI CARABAO


  MABAO ya John Stones dakika ya 50 na Fernandinho dakika ya 83 jana yaliipa Manchester City ushindi wa 2-0 dhidiya wenyeji, Manchester United kwenye mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Ligi England Uwanja wa Old Trafford na kutinga fainali ya Carabao Cup kwa mara ya nne mfululizo na sasa watakutana na Tottenham Hotspur Mei
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAICHAPA MAN UNITED 2-0 NA KUTINGA FAINALI CARABAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top