• HABARI MPYA

  Monday, January 04, 2021

  BARCELONA YAICHAPA HUESCA 1-0 BAO PEKEE LA DE JONG


  BAO pekee la Frenkie de Jong akimalizia pasi ya Lionel Messi dakika ya 27 jana limeipa Barcelona ushindi wa 1-0 dhidi ya Huesca kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa El Alcoraz.
  Kwa ushindi huo, Barcelona inafikisha pointi 28 baada ya kucheza mechi 16 sasa ikiwa nafasi ya tano, ikizidiwa pointi 10 na vinara, Atletico Madrid waliocheza mechi 15 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCELONA YAICHAPA HUESCA 1-0 BAO PEKEE LA DE JONG Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top