• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 05, 2020

  MANCHESTER UNITED WACHAPWA 2-1 UTURUKI LIGI YA MABINGWA ULAYA


  Edin Visca (kulia) akimtungua kipa wa Manchester United, Dean Henderson kuwapatia wenyeji, Istanbul Basaksehir bao la pili dakika ya 40 kufuatia Demba Ba kufunga la kwanza dakika ya 12 katika ushindi wa 2-1 kwenye mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Basaksehir Fatih Terim Jijini İstanbul. Pamoja na kipigo hicho, Man United ambayo bao lake lilifungwa na Anthony Martial dakika ya 43 wanaendelea kuongoza kundi kwa pointi zao sita, sawa na RB Leipzig wote wakifuatiwa na PSG na Istanbul Basaksehir zenye pointi tatu kila moja baada ya timu zote kucheza mechi tatu
   

   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MANCHESTER UNITED WACHAPWA 2-1 UTURUKI LIGI YA MABINGWA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top