• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 05, 2020

  TIMO WERNER AFUNGA PENALTI MBILI CHELSEA YAICHAPA RENNES 3-0


  Wachezaji wa Chelsea wakimpongeza mwenzao, Timo Werner baada ya kufunga mabao mawili yote kwa penalti dakika ya 10 na 41, kabla ya Tammy Abraham kufunga la tatu dakika ya 50 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Rennes kwenye mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge, London. Kwa ushindi huo, Chelsea inafikisha pointi saba sawa na Sevilla na kuendelea kuongoza kundi wakifuatiwa na Krasnodar na Rennes zenye pointi moja kila moja baada ya timu zote nne kucheza mechi tatu
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TIMO WERNER AFUNGA PENALTI MBILI CHELSEA YAICHAPA RENNES 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top