• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 04, 2020

  KIKOSI CHA YANGA SC KILIVYOREJEA LEO DAR NA KWENDA KAMBINI MOJA KWA MOJA KUMUWINDA MTANI

  SIKU moja baada ya sare ya 0-0 na wenyeji, Gwambina huko Misungwi jana –vigogo, Yanga SC wamerejea Dar es Salaam mapema leo kwa ndege na moja kwa moja kuingia kambini Avic Centre, Kigamboni kwa ajili ya mchezo dhidi ya watani, Simba Jumamosi Uwanja wa Taifa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KIKOSI CHA YANGA SC KILIVYOREJEA LEO DAR NA KWENDA KAMBINI MOJA KWA MOJA KUMUWINDA MTANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top