• HABARI MPYA

  Jumamosi, Septemba 07, 2019

  UHOLANZI YAIFUMUA UJERUMANI 4-2 PALE PALE HUMBURG KUFUZU EURO 2020

  Wachezaji wa Uholanzi wakipongezan baada ya ushindi mzuri wa ugenini wa 4-2 dhidi ya wenyeji, Ujerumani usiku wa jana Uwanja wa Volkspark mjini Hamburg katika mchezo wa Kundi C kufuzu Euro ya mwakani. Mabao ya Uholanzi yalifungwa na Frenkie de Jong dakika ya 59, Jonathan Tah aliyejifunga dakika ya 66, Donyell Malen dakika ya 79 na Georginio Wijnaldum dakika ya 90 na ushei, wakati ya Ujerumani yalifungwa na Serge Gnabry dakika ya tisa na Toni Kroos kwa penalti dakika ya 73 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: UHOLANZI YAIFUMUA UJERUMANI 4-2 PALE PALE HUMBURG KUFUZU EURO 2020 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top