Wachezaji wa Chelsea wakimkimbilia mwenzao, kiungo Ruben Loftus-Cheek kumpongeza baada ya kufunga bao la pili dakika ya 82 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Fulham kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Bao la kwanza la The Blues limefungwa na Pedro dakika ya nne na kwa ushindi huo Chelsea inafikisha pointi 31 baada ya kucheza mechi 14 na kupanda hadi nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Man United WILL visit Como as Cesc Fabregas's Serie A club get green light
to host Champions League games after three months of work on stadium
-
Cesc Fabregas guided Como into the Champions League for the first time in
their history last season via a fourth-placed finish in Serie A.
14 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment