Gareth Bale akipongezwa na wenzake baada ya kumaliza ukame wa mabao katika mechi 11 za La Liga kufuatia kuifungia Real Madrid bao pekee dakika ya nane katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Huesca kwenye mchezo wa ligi hiyo Kuu Hispania usiku wa jana Uwanja wa El Alcoraz PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Monday, December 10, 2018
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



.png)
0 comments:
Post a Comment