Ademola Lookman akishangilia na chipukizi wenzake, Fraser Hornby (kushoto) na Harry Charsley baada ya kufunga mabao mawili dakika za 21 na 28 katika ushindi wa 3-0 wa Everton dhidi ya wenyeji, Apollon kwenye mchezo wa Kundi E Europa League usiku wa Alhamisi Uwanja wa Neo GSP mjini Nicosia, Cyprus. Bao lingine la Everton ambayo ilikwenda kwenye mechi hiyo bila kocha wake mpya, Sam Allardyce lilifungwa na Nicola Vlasic dakika ya 87, lakini pamoja na ushindi huo safari yao inaishia hapo baada ya kumaliza nafasi ya tatu kwa pionti zao nne nyuma ya Atalanta iliyomaliza kileleni klwa pointi zake 14 na Olympique Lyonnais pointi 11 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Draw at West Ham dents Liverpool title hopes
-
Liverpool's slim Premier League title hopes take another hit as Michail
Antonio rescues a point for West Ham at London Stadium.
21 minutes ago
0 comments:
Post a Comment