Olivier Giroud akipongezwa baada ya kuifungia Arsenal bao la tano dakika ya 64 kwa penalti katika ushindi wa 6-0 dhidi ya BATE Borisov kwenye mchezo wa Kundi H Europa League usiku wa Alhamisi Uwanja wa Emirates. Mabao mengine yalifungwa na Mathieu Debuchy dakika ya 11, Theo Walcott dakika ya 37, Jack Wilshere dakika ya 43, Dzyanis Palyakow aliyejifunga dakika ya 51 na Mohamed Elneny dakika ya 74. Arsenal inamaliza kileleni mwa kundi kwa pointi zake 13, ikifuatiwa na Crvena Zvezda pointi tisa wakati FC Cologne ya Ujerumani imemaliza na pointi sita nafasi ya tatu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Best Destinations For Expats In 2026, According To InterNations Survey
-
The Expat Insider 2026 survey by InterNations reveals the best and worst
countries for living and working abroad, with a Central American country
coming ou...
4 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment