Eden Hazard akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 21 na 74 kwa penalti katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Newcastle United leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge, London. Bao la pili la The Blues lilifungwa na Álvaro Morata dakika ya 33, wakati la Newcastle lilifungwa na Dwight Gayle dakika ya 12 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Is there a hurricane coming to Texas? Tropical Storm Bertha heads west
-
Tropical Storm Bertha is moving west across the Gulf, prompting a tropical
storm watch for parts of the Texas coast.
2 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment