• HABARI MPYA

  Wednesday, September 13, 2017

  LEWANDOWSKI AFUNGA BAYERN MUNICH YASHINDA 3-0 NYUMBANI

  Mshambuliaji Robert Lewandowski akishangilia baada ya kuifungia Bayern Munich bao la kwanza kwa penalti dakika ya 12 baada ya yeye mwenyewe kuangushwa katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Anderlecht usiku wa jana Uwanja wa Allianz Arena mjini Munich katika mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao mengine ya Thiago Alcantara dakika ya 65 na Joshua Kimmich dakika ya 90 katika mchezo ambao kiungo wa Anderlecht, Sven Kums alitolewa kwa kadi nyekundu baada ya kumsukuma Lewandowski PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LEWANDOWSKI AFUNGA BAYERN MUNICH YASHINDA 3-0 NYUMBANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top