• HABARI MPYA

  Sunday, September 17, 2017

  GOLOVKIN AYANUSURU MATAJI YAKE BAADA YA SARE NA ALVAREZ

  Gennady Golovkin akiwa na mataji yake ya IBF, WBA na WBC Alfajiri ya leo baada ya kutetea kufuatia kutoa sare na Canelo Alvarez katika pambano kali la uzito wa Middle ukumbi wa T-Mobile Arena mjini Las Vegas, Marekani. Mabondia watarudiana baadaye PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GOLOVKIN AYANUSURU MATAJI YAKE BAADA YA SARE NA ALVAREZ Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top