Beki wa Bournemouth, Charlie Daniels akiwa ameshika tuzo ya Bao Bora la Mwezi Ligi Kuu ya England leo baada ya kukabidhiwa kufuatia bao lake alilofunga katika mechi dhidi ya Manchester City kumpa ushindi huo kwa Agosti. Beki huyo wa kushoto pia amesherehekea kutimiza miaka 31 kwa kusaini mkataba mpya wa miaka mitatu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment