• HABARI MPYA

  Saturday, September 16, 2017

  AZAM FC NA KAGERA SUGAR KATIKA PICHA JANA CHAMAZI

  Kiungo wa Azam FC, Yahya Zayed akimtoka beki wa Kagera Sugar, Juma Nyosso katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam ilishinda 1-0 
  Mshambuliaji wa Azam, Mbaraka Yussuf Abeid akiwatoka wachezaji wa timu yake ya zamani, Kagera Sugar
  Beki Mzimbabwe wa Azam, Bruce Kangwa akimtoka beki wa Kagera Sugar, Juma Nyosso
  Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' kulia akimiliki mpira
  Kikosi cha Azam FC kilichoanza jana Chamazi
  Kocha Mromania, Aristica Cioaba akimpongeza Mbaraka Yussuf baada ya kufunga bao pekee la uhindi jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC NA KAGERA SUGAR KATIKA PICHA JANA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top