Kiungo Mfaransa, N'Golo Kante (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake Eden Hazard na Cesar Azpilicueta baada ya kuifungia bao pekee Chelsea dakika ya 51 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Manchester United usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge katika mchezo wa Robo Fainali Kombe la FA England. United ilimaliza pungufu jana baada ya Ander Herrera kutolewa nje kwa kadi nyekundu kufuatia kuonyeshwa kadi za njano mara mbili kwa kumchezea rafu Hazard PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment