Beki wa kati wa JKT Queens, Fatuma Khatib 'Foe' akiwa benchi wakati wa mchezo dhidi ya Kigoma Sisters Ijumaa iliyopita Uwanja wa Karume, Dar es Salaam
Fatuma Khatib (kulia) alikuwa mchezaji chaguo la kwanza kabla ya kujifungua mtoto wake wa kiume, Ibrahim
Hapa Fatma Foe anatoka kuchukua Medali yake baada ya JKT Queens kumaliza nafasi ya pili katika Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara
0 comments:
Post a Comment