Wachezaji wa Azam FC wakiwa katika picha ya pamoja Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam kabla ya safari ya kwenda Mbabane, Swaziland kumenyana na wenyeji, Mbabane Swallows Jumapili katika mchezo wa marudiano wa hatua ya 32 Bora Kombe la Shirikisho la soka Afrika. Azam inahitaji hata sare baada ya kushinda 1-0 katika mchezo wa kwanza nyumbani, Dar es Salaam Jumapili iliyopita
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment