Kipa wa Newcastle United, Rob Elliot akiutumbulia macho mpira ukitinga nyavuni baada ya pigo la tik tak la mshambuliaji wa kimataifa wa Japan, Shinji Okazaki kuipatia Leicester City bao pekee la ushindi dakika ya 25 dhidi ya Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa King Power. Ushindi huo katika mechi ya 30 ya ligi msimu huu, unaifanya Leicester ifikishe pointi 63, ikiwazidi kwa pointi tano Tottenham Hotspur walio nafasi ya pili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
It's time for Man United's undependable stars to show some backbone for
Michael Carrick, writes CHRIS WHEELER - and why club chiefs will rue
letting Casemiro go
-
CHRIS WHEELER: Martinez is typical of the senior players at United who are
failing Carrick this season after helping their head coach get the job in
the fi...
29 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment