• HABARI MPYA

    Monday, March 14, 2016

    VIDEO; SAMATTA ALIVYOFUNGA BAO LA KWANZA KATIKA USHINDI WA 4-1 GENK JANA

    Mshambuliaji wa KRC Genk, Mbwana Samatta akikimbia kushangilia baada ya kufunga bao la kwanza katika ushindi wa 4-1 jana dhidi ya Oostende kwenye Ligi Kuu ya Ubelgiji. Angalia video chini

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: VIDEO; SAMATTA ALIVYOFUNGA BAO LA KWANZA KATIKA USHINDI WA 4-1 GENK JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top