Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akiwa ameweka mpira ndani ya jezi yake baada ya kufunga mabao manne peke yake katika ushindi wa 7-1 dhidi ya Celta Vigo kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Bernabeu. Mabao mengine ya Real yamefungwa na Pepe, Jese Rodriguez na Gareth Bale, wakati la Celta Vigo limefungwa na Iago Aspas PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Lawyer urges Ogun govt to fill vacant Alakenne throne
-
Following the judgment of the Supreme Court, renowned legal practitioner
and Senior Advocate of Nigeria, Olumide Sofowora, has called on the Ogun
State g...
40 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment