Nyota wa Leicester City, Riyad Mahrez akishangilia baada ya kuifungia bao pekee la ushindi Leicester City dakika ya 11 ikishinda 1-0 ugenini dhidi ya wenyeji Watford Uwanja wa Vicarage Road katika mchezo wa Ligi Kuu ya England na kuzidi kupaa kileleni kwa kufikisha pointi 60, tano zaidi ya Tottenham Hotspur wanaoshika nafasi ya pili baada ya timu zote kucheza mechi 29 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Why Kane is different at this World Cup
-
Former England captain Alan Shearer explains what has changed for Harry
Kane since his struggles at the 2022 World Cup in Qatar.
6 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment