Wachezaji wa Barcelona wakishangilia ushindi wao wa 6-0 dhidi ya Getafe katika mchezo wa La Liga jioni ya leo Uwanja wa Camp Nou. Katika mchezo huo ambao Mwanasoka Bora wa Dunia, Lionel Messi alikosa penalti kabla ya kufunga baafaye, mabao mengine ya Barca yamefungwa na Juan Rodriguez aliyejifunga, Munir, Neymar mawili na Arda Turan PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment