Mkurugenzi wa bendi ya African Stars 'Twanga Pepeta', Asha Baraka (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari leo ukumbi wa White Rose, Kinondoni, Dar es Salaam asubuhi ya leo wakati wa kumtambulisha rapa Saulo John 'Ferguson' (kulia) aliyerejea bendi hiyo kutoka Mashujaa Band. Kushoto ni mnenguaji wa bendi hiyo, Kassim Juma
0 comments:
Post a Comment