Mshambuliaji wa Arsenal, Theo Walcott akipongezwa na wachezaji wenzake, Kieran Gibbs na Alex Iwobi baada ya kufunga bao lake la pili usiku wa kuamkia leo katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Hull City katika mchezo wa 16 Bora Kombe la FA England Uwanja wa KC. Walcott alifunga mabao mawili na mengine Olivier Giroud na sasa The Gunners inakwenda Robo Fainali ya michuano hiyo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Solomon Robinson declares Chelsea his club, backs Blues for title
-
Popular football analyst and Chairman of KSAnalysis, Solomon Robinson, has
officially declared Chelsea Football Club as his club ahead of the new
Premier...
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment