Mshambuliaji wa Mchester United, Anthony Martial akishangilia baada ya kuifungi timu yake katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Liverpool Uwanja wa Old Trafford usiku huu.Mabao ya United yamefungwa na Daley Blind dakika ya 49, Ander Herrera dakika ya 70 kwa penalti na Anthony Martial dakika ya 65, wakati la Liverpool limefungwa na Christian Benteke dakika ya 86. PICHA ZAIDI GONGA HAPA
2027: Ebonyi governorship about service delivery, not sentiments – PDP
candidate
-
2027: Ebonyi governorship about service delivery, not sentiments - PDP
candidate
The post 2027: Ebonyi governorship about service delivery, not sentiment...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment