LEO HAKUTUMWA MTOTO MKWAKWANI, VIGOGO WOTE WALIKUWEPO SIMBA IKIICHAPA SPORTS 1-0
Rais wa Simba SC, Evans Elieza Aveva (katikati) akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya klabu hiyo, Zacharia Hans Poppe (kushoto) na Mjumbe wa Kamati hiyo, Musley Al Ruwey (kulia) wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji African Sports Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Simba SC ilishinda 1-0.
0 comments:
Post a Comment