PLUIJM AREJEA NA NGUVU MPYA KUISUKA YANGA HATARI MSIMU UJAO
Kocha wa Yanga SC, Mholanzi, Hans van der Pluijm kulia baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) mjini Dar es Salaam jana kutoka Ghana anakoishi alipokwenda kwa mapumziko baada ya msimu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara mwezi uliopita alipoiwezesha timu hiyo kutwaa ubingwa. Pluijm anatarajiwa kuanza maandalizi ya msimu mpya kesho.
0 comments:
Post a Comment