NOOIJ AMVULIA KOFIA ALHAJ NDOLANGA UZINDUZI JEZI MPYA ZA STARS
Kocha Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mholanzi Mart Nooij alilazimika kuvua kofia yake wakati anamsalimia Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Alhaj Muhiddin Ndolanga (kushoto) katika hafla ya uzinduzi wa jezi mpya za timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars mchana wa leo ukumbi wa JB Belmonte, jengo la Golden Jubilee Tower, Dar es Salaam
Hapa Nooij anaondoka baada ya kumpa heshima yake Alhaj Ndolanga
0 comments:
Post a Comment