KABURU AKIGAWA KING'AMUZI CHA AZAM TV UWANJA WA AMAAN
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Geoffrey Nyange 'Kaburu' akimzawadi king'amuzi na dishi la Azam TV, Nahodha wa KMKM ya Zanzibar baada ya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga ba la michuano ya Kombe la Mapinduzi, tmu yake ikifungwa 3-2 na KCC ya Uganda.
Kabla ya hapo, Kaburu alikuwa amaketi jukwaani na Meneja wa Simba SC, Mganda Moses Basena wakijadiliana mambo.
0 comments:
Post a Comment