NYOTA wa klabu ya Real Madrid ya Hispania wamesafiri hadi Brazil kufanya kzi muhimu kwa ajili ya Fainali za Kombe la Dunia mwakani.
Wachezaji sita wa kikosi cha Carlo Ancelotti kinachoshiriki La Liga watakaokwenda Amerika Kusini mwishoni mwa msimu, wameonyesha jezi za timu zao za taifa leo baada ya kupangwa kwa Ratiba ya michuano hiyo.
Cristiano Ronaldo, Angel De Maria, Karim Benzema, Iker Casillas, Marcelo na Luka Modric wote walishika jezi za nchi zao na pia wakashika kwa pamoja jezi ya Ujerumani kumuwaklisha Sami Khedira.
Ligi za Mataifa: Nyota wa Real Madrid, kutoka kushoto Angel Di Maria, Karim Benzema, Iker Casillas, Cristiano Ronaldo, Marcelo na Luka Modric
Kama ungekuwepo: Wachezaji hao sita wa Real pia walishika kwa pamoja jezi ya Ujerumani kumuwakilisha Sami Khedira ambaye hakuwepo
Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/worldcup2014/article-2520247/Real-Madrid-stars-ready-Brazil-cagey-holding-shirts.html#ixzz2mpfnkcTC
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook



.png)
0 comments:
Post a Comment