Wacheza shoo wa kundi la muziki wa Dansi la Extra Bongo
wakitoa burudani katika Tamasha la Kampeni ya Nani Mtani Jembe lililofanyika
Banana Dar es Salaam leo kwaajili ya Mashabiki wa Simba na Yanga na kuendeshwa
na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager Bonge la Kiburudisho kwa Watanzania.
Mashabiki wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager wakifurahiya
Kampeni ya Nani Mtani Jembe wakati wa Tamasha lililofanyika Ukonga Banana Dar
es Salaam leo kwaajili ya Mashabiki wa Simba na Yanga na kuzaminiwa nabia hiyo.
Wacheza shoo wa kundi la muziki wa Dansi la Extra Bongo
Wanaume wakiomyesha vitu vyao katika
Tamasha la Kampeni ya Nani Mtani Jembe lililofanyika Banana Dar es Salaam leo
kwaajili ya Mashabiki wa Simba na Yanga na kuendeshwa na Bia ya Kilimanjaro
Premium Lager Bonge la Kiburudisho kwa Watanzania.
Mashabiki wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager wakikabidhiana
zawadi za jezi wakati wa Tamasha la Nani Mtani Jembe lilifanyika Banana Dar es
Salaam leo na kuzaminiwa na bia hiyo kwaajili ya Mashabiki wa Simba naYanga
Lindsay Clancy was ‘begging for help’ before killing her children, former
mother-in-law testifies
-
BOSTON (AP) — Lindsay Clancy was “begging for help” in the months leading
up to killing her three children and attempting to end her own life,
Clancy's for...
8 minutes ago


.png)
0 comments:
Post a Comment