LUGARUSIC AKISANI MKATABA MBELE YA HANS POPPE KUANZA KAZI SIMBA SC
Kocha moya wa Simba SC, Mserbia Zdravko Lugarusic kulia akisaini Mkataba wa miezi sita mbele ya Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe kushoto leo mchana Mbezi, Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment