![]() |
| Haroun Chanongo akipasua, kushoto ni Henry Joseph akiwa tayari kutoa msaada |
![]() |
| Amri Kiemba akitafuta mbinu za kuwatoka mabeki wa Ruvu |
![]() |
| Betram Mombeki akigombea mpira na mchezaji wa Ruvu |
![]() |
| Stefano Mwasyika wa Ruvu akiondoka na mpira pembeni ya Henry Joseph |
![]() |
| Kipa wa Simba SC, Abbel Dhaira akiwa amedaka mpira |
![]() |
| Beki wa Simba SC, Joseph Owino akitafuta mbinu za kumpokonya mpira mshambuliaji wa Ruvu |
![]() |
| Betram Mombeki akimuinua Amisi Tambwe baada ya kuangushwa |










.png)