 |
| Father wa seminari ya Ntungamo, Bukoba, (kulia) akiwa kwenye benchi la Yanga kabla ya kuanza kwa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya timu hiyo ya wenyeji Kagera Sugar Uwanja wa Kaitaba, Bukoba jana. Father huyo alionyesha mapenzi makubwa kwa Yanga na kuiombea dua ishinde. Alikuwa mnyonge sana Kagera Sugar waliposawazisha bao na akawa mwenye furaha kubwa Yanga SC walipopata bao la ushindi. Yanga SC walikuwa wakifanya mazoezi kwenye Uwanja wa Ntungamo kabla ya mechi hiyo. |
 |
0 comments:
Post a Comment