WAWAKILISHI wa Tanzania Bara kwenye Ligi ya
Mabingwa Yanga jana waliaga michuano hiyo baada ya kufungwa bao 1-0 na
Zamalek katika mechi iliyochezwa Cairo.
Katika mechi hiyo Yanga ilicheza pungufu kuanzia dakika ya 63 baada ya mchezaji wake Athumani Iddi ‘Chuji’ kutolewa kwa kadi nyekundu kutokana na mchezo mbaya.
Bao la Zamalek lilifungwa dakika ya 31 kupitia kwa mchezaji wake Ahmed Hossan ‘Mido’, dakika ya 78 Zamalek walipata penati lakini walikosa baada ya mpira kugonga mwamba.
Kwa matokeo hayo, Yanga sasa imeaga michuano kwa kufungwa mabao 2-1. mechi ya
kwanza timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1 Dar es Salaam.

.png)
0 comments:
Post a Comment