• HABARI MPYA

    Saturday, March 03, 2012

    UZINDUZI SIMBA TV WAFANA

     Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za MItaa (TAMISEMI) Kassim Majaliwa mwenye miwani akifurahi mara baada ya kuzindua vipindi vya Simba Tv ambavyo vitakuwa vikionyeshwa katika kituo cha televisheni cha Clouds, hafla hiyo ilifanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Cleopatra uliopo jengo la Quality Centre, wengine ni mwenyekiti wa Simba Ismail Aden Rage mwenye kofia, Malamu mwenyekiti wa Simba Kaburu (Wa kwanza kulia), mbunge wa Urambo Maghari Juma Kapuya na Msemaji wa Simba, Ezekiel Kamwaga.
     Meza kuu hiyo kwa mbali kuliani ni mmoja ya wafadhili wa Simba, Mzee Hamis Kilomoni na wa pili kutoka kulia ni meneja wa bia ya Kilimanjaro ambayo inaidhamini Simba, George Kavishe.
                                                   Wadau wa kundi la MArafiki wa Simba
                                                      Wawakilishi toka Media Houses
                                             Vijana wa THT ndio walitumbuiza hafla hiyo
                                        Wadau wa michezo toka taasisi mbalimbali
                                                  Kitu cha Keki, mabo ya nguvu moja hahahah
     Baadhi ya Wanandinga wanaochezea Simba kwa sasa kwa mbali 'Balotel wa Bongo'Haruna  Moshi
    Mchezaji wa zamani wa Simba mwenye historia ya kipekee, Zamoyoni Mogela 'Golden Boy' akizungumza kido
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: UZINDUZI SIMBA TV WAFANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top