• HABARI MPYA

    Saturday, March 11, 2017

    LIGI YA WANAWAKE ILIVYOHITIMISHWA JANA KARUME, ASANTENI AZAM TV

    Kiungo mshambuliaji wa Mlandizi Queens, Mwanahamisi Omar 'Gaucho' akimiliki mpira dhidi ya wachezaji wa Panama ya Iringa, Antoneza Mbanga (kushoto) na Maimuna Mtoro (kulia) katika mchezo wa mwisho wa Sita Bora ya Ligi Kuu ya Wanawake jana Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. Mlandizi ilishinda 5-0 na kkutwaa ubingwa wa kwanza wa michuano hiyo iliyodhaminiwa na Azam TV
    Zainab Mlenda wa Mlaandizi Queens (kushoto) akipambana na Mariam Mbojela wa Panama
    Karangaza Kingamkono wa Mlandizi Queens akimiliki mpira mbele ya Wema Maile wa Mlandizi Queens
    Wachezaji wa Mlandizi Queens na Panama wakipambana kugombea mpira huku refa akiwashuhudia  
    Jamilla Hassan wa Mlandizi Queens akipambana na Eunice Tweve wa Panama
    Wachezaji wa akiba wa Mlandizi Queens wakifuatilia mchezo
    Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi akiwakagua wachezaji wa JKT Queens kabla ya mchezo wa kufunga mashindano hayo dhidi ya Kigoma Sisters
    Mwandishi wa Habari wa TBC, Jesse John akiwa katika mahojiano na Mwenyekiti wa Chama cha Soka ya Wanawake (TWFA), Amina Kaluma
    Wapenzi maarufu wa soka ya wanawake nchini walikuwepo jana kushuhudia mabinti wakionyesha vipaji
    Mwenyekiti wa Chama cha Soka KIbaha (KIBAHA), Robert Munisi alikuwepo jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LIGI YA WANAWAKE ILIVYOHITIMISHWA JANA KARUME, ASANTENI AZAM TV Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top