• HABARI MPYA

  Saturday, September 03, 2022

  SIMBA SC YACHAPWA 1-0 NA ARTA SOLAR YA DJIBOUTI


  BAO pekee la Manuncho Athumani dakika ya 89 limeipa Arta Solar 7 ya Djibouti ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Simba SC katika mchezo wa kirafiki uliomalizika muda huu Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
  Arta Solar wanakamilisha ziara ya mechi zao za kirafiki nchini baada ya awali kufungwa 3-0 na Azam FC Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam na sasa wanarejea nyumbani.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC YACHAPWA 1-0 NA ARTA SOLAR YA DJIBOUTI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top