• HABARI MPYA

  Thursday, September 01, 2022

  KMKM WATWAA NGAO YA JAMII ZANZIBAR

  PAZIA la msimu mpya wa kisoka Zanzibar limepenuliwa jana kwa mchezo wa Ngao ya Jamii, KMKM mabingwa wa Ligi Kuu wakiwachama washindi wa FA Cup, Kipanga 1-0 bao pekee la Salum Akida dakika ya 90 na ushei Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KMKM WATWAA NGAO YA JAMII ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top