• HABARI MPYA

  Thursday, September 01, 2022

  HAALAND APIGA TENA HAT TRICK MAN CITY YASHINDA 4-0


  MSHAMBULIAJI mpya. Mnorway Erling Haaland jana amefunga mabao matatu katika ushindi wa 6-0 wa Manchester City dhidi ya 
  Nottingham Forest kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad.
  Mabao hayo aliyofunga dakika za 12, 23 na 38 yanamfanya afikishe hat-trick mbili ndani ya mechi tano za mwanzo za msimu na ni ya pili mfululizo.
  Mabao mengine ya Man City yamefungwa na Joao Cancelo dakika ya 50 na Julian Alvarez mawili dakika ya 65 na 87.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HAALAND APIGA TENA HAT TRICK MAN CITY YASHINDA 4-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top