• HABARI MPYA

  Friday, September 02, 2022

  DAKTARI WA SIMBA, YASSIN GRMBE AFARIKI DUNIA


  ALIYEWAHI kuwa Daktari wa klabu ya Simba, Yassin Gembe amefariki dunia leo mchana katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam.
  Hadi anakutwa na umauti, Gembe aliyewahi pia kuwa Daktari wa Mtibwa Sugar, alikuwa anatoa huduma hiyo kwa timu ya vijana.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DAKTARI WA SIMBA, YASSIN GRMBE AFARIKI DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top